Saturday, April 28, 2012

Allah alichafuka lini?


((Enyi mlioamini! Mdhukuruni Allaah kwa wingi wa kumdhukuru)) ((Na mtakaseni asubuhi na jioni)) ((Yeye na Malaika Wake ndio Wanakurehemuni ili kukutoeni gizani mwende kwenye nuru. Naye ni Mwenye kuwarehemu Waumini)) ((Maamkiano yao siku ya kukutana Naye yatakuwa: Salama! Na Amewaandalia malipo ya ukarimu)) [Al-Ahzaab: 42-44]

Kama Kolani inavyo kiri kuwa Allah ni mchafu na Waislamu wanatakiwa wamtakase. 

Sasa Allah alichafuka lini?

No comments:

Post a Comment