Saturday, February 14, 2015

X Paster AKA Kahtaan GAIDI wa Kitanzania aliye MAFICHONI Nchini Ireland








Habari za kuaminika zinasema kwamba, Watanzania wameanzisha kikundi cha JIHAD kinachoitwa Al Jihad Islamic, chenye mwenendo, maadili, mahusiano na Harakati Al Shabab ya Somalia



Chanzo cha habari hizi kinasema kuwa, Mmoja na Mwanzilishi wa kikundi hicho cha kigaidi ni Dr. Suleima Seif Suleiman anaye julikana kwa jina la Dr. Sule na  Mtanzania mwenzake anae ishi kwa kujificha nchini Ireland kayika Mji wa Dublin ambaye ni Ustaad wa Dawah Islamic Group of Ireland anaye tumia "nick name" ya X-Paster AKA Kahtaan ambaye vile vile ni Katibu Mkuu wa AJIPC. Gaidi X-Paster aka Kahtaan ni blogger wa Amua Sasa anaye tumia jina lingine la Besty katika blog hiyo. 

Habari za kuaminika zinaendelea kusema kuwa, gaidi huyu, X Paster aka Kahtaan ambaye vilevile ni mhariri wa Jamii Forum anampango wa kuleta  michafuko ya kidini nchini Tanzania kwa nia ya kuigeuza Tanzania kuwa Nchi  ya Kiislam. Gaidi huyu alisikika akijigamba kwa kusema kuwa, taasisi yake ya kigaidi yenye Mahusiano ya Karibu na Al Shabab itafanya vitendo vya kigaidi ikiwa ni pamoja na kutumia magari kama mabomu na kulipua sehemu nyeti za Serikali ya Tanzania, kulipua Makani na Taasisi za Kikristo na kuleta Michafuko ya Kidini Nchini Tanzania. Zaidi ya hapo, Gaidi huyu alidai kuwa, taasisi yake ya kigaidi inampango wa kufanya vitendo kama hivyo vya kigaidi nchini Marekani na Israeli. Chanzo cha habari hizi kinasema kuwa, gaidi huyu anapokea misaada kutoka taasisi mbalimbali za kiislam ambazo si za kiserikali na kwa njia nyingine ambazo si halali na za jinai ana ametamba kuwa yeye anahusika katika kuchinjwa kwa Wanahabri wa Kimarekani na ISIS.



Source: CPI News 

No comments:

Post a Comment