Mbagala Kizuiani mabomu,baada ya kijana kukojolea QURUAN.
MJI WA MBAGALA na vitongoji vyake unazizima kwa fujo, vurugu na visasi baada ya mtoto wa kiume anayedaiwa kusoma kidato cha pili kukojolea kitabu kitakatifu cha QURUAN.

hayo ndio mambo ya mbagala kuna maandamano wa waislamu maeneo ya kizuiani kuusu kijana ambaye alikojolea msaafu na makanisa yetu ya mbagala wamebomolewa na watu kuibiwa bidhaa zao.

Ndugu Hamis Salum baba wa mtoto ambaye Quran yake imekojolewa

Baadhi ya Waislamu wakishambuliwa kwa kupigwa na polisi kwa kupinga kitendo cha Mtoto Emanuel Josephat (14) kukojolea Qur-an takatifu

Wanafunzi wakiziba uso kuzuia mabomu ya machozi leo Mbagala

No comments:
Post a Comment