
Ali Kwibe Ramadhan Muislam wa Siasa kali amejigamba kwenye mitandao ya jamii kuwa yeye ni mjuzi wa Kuvuta Bangi na anatumia makaratasi ya Biblia kufungia Bangi zake. Muislam huyo anaye ishi katika Mji wa Baraka kwenye Nchi ya Kidemokrasia ya Kongo, amesema kuwa hakuna Serikali ya nchi yeyote ile inayo weza kumzuia kufanya hivyo.

Pichani hapo juu ni Muislam Ali Kwibe Ramadhan akionyesha chuki zake kwenye Kitabu Kitakatifu kinacho tumiwa na Wakristo huku akisema Allahu Wakbar.

Hapo juu ni picha aliyo ituma kushuhudia utumiaji wa Biblia katika uvutaji wake wa Bangi. Muislam Ali Kwibe Ramadhan amendeelea kusema kuwa, hivi sasa anampango wa kujiunga na Al Shababu ili kuwafunza adabu Wakristo ambao wana imani tofauti na yeye.
Tunaomba Serikali ya Kidemokrasia ya Kongo imshughulikie huyu Muisla Ali Kwibe Ramadhan ambaye anaonyesha hatari katika jamii.
Imeletwa kwenu na Nostrandom